Yohana 14:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Tomaso akamwambia, Bwana, hatujui uendako; twaijuaje njia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakoenda, tutaijuaje njia?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?” Tazama sura |