Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 14:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Haya nimewaambia, nikikaa kwenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 “Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 “Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 “Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 “Nimewaambia mambo haya yote wakati bado niko pamoja nanyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 “Nimewaambia mambo haya yote wakati bado niko pamoja nanyi.

Tazama sura Nakili




Yohana 14:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Tangu sasa nawaambieni kabla hayajatukia, illi yatakapotukia, mpate kuamini ya kuwa mimi ndiye.


Asiyenipenda, hayashiki maneno yangu; na neno mnalolisikia silo langu, bali lake Baba aliyenipeleka.


Lakini Mfariji, Roho Mtakatifu, ambae Baba atampeleka kwa jina langu, yeye atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.


Na sasa nimewaambieni kabla haijawa, kusudi iwapo, mwamini.


Haya nimewaambieni, illi furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.


Hatta ninayo mengi bado ya kuwaambieni, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo