Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 13:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 akaondoka chakulani, akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifungia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 hivyo aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni.

Tazama sura Nakili




Yohana 13:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wa kheri watumishi wale ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesba. Amin, nawaambieni, atajifunga, atawaketisha, atakuja kuwakhudumia.


Lakini nani kwenu mwenye mtumishi anaelima, an anaeehunga kondoo? je! amwambia marra atakapoingia, akitoka mashamba, Njoo upesi, keti, ule chakula?


La! kinyume cha hayo, atamwambia, Pakua chakula, nile; jifunge, unikhudumie hatta nikiisha kula na kunywa; na baada ya haya utakula na kunywa mwenyewe.


Maana nani mkubwa, aketiye chakulani, ama akhudumuye?


Bassi alipokwisha kuwatawadha miguu, na kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena, akawaambia, Mmeelewa niliyowatendea.


Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu, alipokuwa tajiri, illi ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.


Maana hii ndiyo khabari tuliyosikia tangu mwanzo, tupendane sisi kwa sisi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo