Yohana 13:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Petro akamwambia, Bwana, kwa nini nisiweze kukufuata sasa? Nitauweka uzima wangu kwa ajili yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Petro akamwambia “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa ajili yako!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Petro akamwambia “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa ajili yako!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Petro akamwambia “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa ajili yako!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Petro akamuuliza tena, “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Mimi niko tayari kuutoa uhai wangu kwa ajili yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Petro akamuuliza tena, “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Mimi niko tayari kuutoa uhai wangu kwa ajili yako.” Tazama sura |