Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 13:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Simon Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako, huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unaenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakoenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakokwenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”

Tazama sura Nakili




Yohana 13:36
8 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi watoto wachanga, bado kitambo kidogo nipo pamoja nanyi; mtanitafuta: na kama nilivyowaambia Wayahudi, ya kama, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja: sasa nawaambia na ninyi.


Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambieni; nashika njia kwenda kuwaandalia mahali.


Bassi baadhi ya wanafunzi wake walisemezana, Neno gani hili analosema, Bado kitambo nanyi hamnioni, na tena bado kitambo na mtaniona? na, Kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba?


Lakini sasa nakwenda zangu kwake aliyenipeleka, wala hakuna mmoja wenu aniulizae, Unakwenda zako wapi?


Nikijua kwamba kule kuwekea mbali maskani yangu kwaja upesi, kama Bwana wetu Yesu Kristo alivyonionyesha kwa wazi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo