Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 13:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Hivi watu wote watajua ya kuwa m wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Mkipendana, watu wote watajua kwamba nyinyi ni wanafunzi wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Mkipendana, watu wote watajua kwamba nyinyi ni wanafunzi wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Mkipendana, watu wote watajua kwamba nyinyi ni wanafunzi wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Mkipendana ninyi kwa ninyi kwa njia hii, watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kama mkipendana ninyi kwa ninyi, kwa njia hii, watu wote watajua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu.”

Tazama sura Nakili




Yohana 13:35
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wote wawe umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, na mimi ndani yako, illi na hawa wawe umoja ndani yetu: ulimwengu upate kuamini kwamba ndiwe uliyenituma.


Yeye ampendae ndugu yake, akaa katika nuru, wala ndani yake hamna kikwazo.


Lakiui yeye alishikae neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Ilivi twajua ya kuwa tumo ndani yake.


Na sasa, Bibi, nakuomba, si kwamba nakuandikia amri mpya, bali ile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo, kwamba tupendane.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo