Yohana 13:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Bassi huyu, akiisha kupokea lile tonge, akatoka marra hiyo; na ulikuwa usiku hapo alipotoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Basi, Yuda alipokwisha twaa kile kipande cha mkate, akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Basi, Yuda alipokwisha twaa kile kipande cha mkate, akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Basi, Yuda alipokwisha twaa kile kipande cha mkate, akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Mara tu baada ya kupokea ule mkate, Yuda akatoka nje. Wakati huo ulikuwa ni usiku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Mara tu baada ya kupokea ule mkate, Yuda akatoka nje. Wakati huo ulikuwa ni usiku. Tazama sura |