Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 13:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Maana wengine, kwa kuwa Yuda aliuchukua mfuko, walidhani ya kuwa Yesu alimwambia, Nunua tunavyovihitaji kwa siku kuu; au kwamba awape maskini kitu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kwa kuwa Yuda alikuwa mweka hazina, baadhi yao walidhani kwamba Yesu alikuwa amemwambia anunue vilivyohitajiwa kwa sikukuu, au kwamba alikuwa amemwambia akatoe chochote kwa maskini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kwa kuwa Yuda alikuwa mweka hazina, baadhi yao walidhani kwamba Yesu alikuwa amemwambia anunue vilivyohitajiwa kwa sikukuu, au kwamba alikuwa amemwambia akatoe chochote kwa maskini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kwa kuwa Yuda alikuwa mweka hazina, baadhi yao walidhani kwamba Yesu alikuwa amemwambia anunue vilivyohitajiwa kwa sikukuu, au kwamba alikuwa amemwambia akatoe chochote kwa maskini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Kwa kuwa Yuda alikuwa mtunza fedha, wengine walifikiri Isa alikuwa anamwambia akanunue vitu vilivyohitajika kwa ajili ya Sikukuu, au kuwapa maskini kitu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Kwa kuwa Yuda alikuwa mtunza fedha, wengine walifikiri Isa alikuwa amemwambia akanunue vitu vilivyohitajika kwa ajili ya Sikukuu, au kuwapa maskini chochote.

Tazama sura Nakili

Yohana 13:29
6 Marejeleo ya Msalaba  

HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.

Wala hapana mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu hatta akamwambia hivi.

illa neno moja walitutakia, tuwakumbuke maskini; na neno lilo hilo nalikuwa na bidii kulifanya.

Mwibaji asiibe tena; bali afadhali afanye juhudi, akitenda kazi iliyo njema kwa mikono yake mwenyewe, apafe kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo