Yohana 13:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Wala hapana mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu hatta akamwambia hivi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo. Tazama sura |