Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 13:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bassi Yesu akajibu, Ni mtu yule nitakaemtowelea tonge na kumpa. Akatowelea tonge, akampa Yuda, mwana wa Simon Iskariote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Yesu akajibu, “Yule nitakayempa kipande cha mkate nilichochovya katika sahani, ndiye.” Basi, akatwaa kipande cha mkate, akakichovya katika sahani, akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Yesu akajibu, “Yule nitakayempa kipande cha mkate nilichochovya katika sahani, ndiye.” Basi, akatwaa kipande cha mkate, akakichovya katika sahani, akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Yesu akajibu, “Yule nitakayempa kipande cha mkate nilichochovya katika sahani, ndiye.” Basi, akatwaa kipande cha mkate, akakichovya katika sahani, akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Isa akajibu, “Ni yule nitakayempa hiki kipande cha mkate baada ya kukichovya kwenye bakuli.” Hivyo baada ya kukichovya kile kipande cha mkate, akampa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Isa akajibu, “Ni yule nitakayempa hiki kipande cha mkate baada ya kukichovya kwenye bakuli.” Hivyo baada ya kukichovya kile kipande cha mkate, akampa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni.

Tazama sura Nakili

Yohana 13:26
8 Marejeleo ya Msalaba  

Simon Kananayo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyemsaliti.

Kisha mmoja wa wale thenashara, jina lake Yuda Iskariote, alikwenda zake kwa makuhani wakuu,

Akajibu, akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika sahani, ndiye atakaenisaliti.

Illa angalieni, mkono wake anisalitiye u pamoja nami mezani.

Bassi huyu, akiisha kupokea lile tonge, akatoka marra hiyo; na ulikuwa usiku hapo alipotoka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo