Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 13:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Bassi Simon Petro akampungia mkono huyo, amwulize, Ni nani anaemtaja?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Basi, Simoni Petro akamwashiria na kusema: “Mwulize anasema juu ya nani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Basi, Simoni Petro akamwashiria na kusema: “Mwulize anasema juu ya nani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Basi, Simoni Petro akamwashiria na kusema: “Mwulize anasema juu ya nani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Simoni Petro akampungia mkono yule mwanafunzi, akamwambia, “Muulize anamaanisha nani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Simoni Petro akampungia mkono yule mwanafunzi, akamwambia, “Muulize anamaanisha nani.”

Tazama sura Nakili




Yohana 13:24
7 Marejeleo ya Msalaba  

hatta alipotoka hakuweza kusema nao, wakatambua ya kuwa ameona maono mle hekaluni; nae alikuwa akiwapungia mkouo, akadumu kuwa bubu.


Wakawaashiri wenzi wao katika chombo cha pili, waje kuwasaidia. Wakaenda wakavijaza vyombo vyote viwili, hatta kuvizamisha.


Palikuwako mmoja wa wanafunzi wake, amemwegamia Yesu kifua chake, ambae Yesu alimpenda.


Bassi yeye akimwegamia Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani?


Nae akawapungia mkono wanyamaze, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa katika gereza. Akasema, Enendeni, mkampashe Yakobo na ndugu zetu khabari hizi. Akaondoka, akaenda mahali pengine.


Paolo akasimama, akawtipungia mkono, akanena, Enyi wanme wa Israeli, na ninyi mnaomcha Mungu, sikilizeni.


Bassi, alipompa rukhusa, Paolo akasimama madarajani, akawapunjia mkono wale wenyeji; na ilipokuwa kimya kabisa, akanena nao kwa lugha ya Kiebrania, akisema,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo