Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 13:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Hatta wakati wa chakula cha jioni, Shetani alipokwisha kumtia Yuda, mwana wa Simon Iskariote, moyo wa kumsaliti,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Basi, Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamekaa kula chakula cha jioni. Ibilisi alikwisha mtia Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti, nia ya kumsaliti Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Basi, Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamekaa kula chakula cha jioni. Ibilisi alikwisha mtia Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti, nia ya kumsaliti Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Basi, Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamekaa kula chakula cha jioni. Ibilisi alikwisha mtia Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti, nia ya kumsaliti Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Isa alipokuwa akila chakula cha jioni na wanafunzi wake, ibilisi alikuwa amekwisha kutia wazo la kumsaliti Isa ndani ya moyo wa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wakati alipokuwa akila chakula cha jioni na wanafunzi wake, ibilisi alikuwa amekwisha kutia ndani ya moyo wa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni, wazo la kumsaliti Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 13:2
14 Marejeleo ya Msalaba  

Simon Kananayo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyemsaliti.


Shetani akamwingia Yuda, aitwae Iskariote, nae alikuwa katika hesabu ya wale thenashara.


Bwana akasema, Simon, Simon, tazama, Shetani amewataka ninyi awapepete kama nganu:


Maana alimjua atakaemsaliti, ndio maana alisema, Hamwi safi nyote.


akaondoka chakulani, akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifungia.


Petro akamwambia, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo kumwambia uwongo Roho Mtakatifu, na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya uwanja?


Lakini Mungu ashukuriwe atiae bidii ile ile kwa ajili yenu katika moyo wa Tito.


ambazo sisi nasi sote tuliziendea, hapo zamani, katika tamaa za mwili wetu, tukiyatimiza mapenzi ya mwili wetu na ya nia zetu, tukawa kwa tabia yetu watoto wa ghadhabu kama na hao wengine.


Maana Muugu ametia mioyoni mwao kufanya shauri lake, na kufanya shauri moja, na kumpa yule nyama ufalme hatta maneno ya Mungu yatimizwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo