Yohana 13:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Amin, amin, nawaambieni, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake: wala mtume si mkuu kuliko yeye aiiyempeleka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kweli nawaambieni, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala mtume si mkuu kuliko yule aliyemtuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kweli nawaambieni, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala mtume si mkuu kuliko yule aliyemtuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kweli nawaambieni, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala mtume si mkuu kuliko yule aliyemtuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Amin, amin nawaambia, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala aliyetumwa si mkuu kuliko yule aliyemtuma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Amin, amin nawaambia, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala aliyetumwa si mkuu kuliko yule aliyemtuma. Tazama sura |