Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Yesu akapaaza sauti yake akasema, Aniaminiye mimi, haniamini mimi, bali yeye aliyenipeleka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, “Mtu anayeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule aliyenituma.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, “Mtu anayeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule aliyenituma.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, “Mtu anayeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule aliyenituma.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Isa akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali pia yeye aliyenituma.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Isa akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:44
11 Marejeleo ya Msalaba  

Awapokeae ninyi, anipokea mimi; nae anipokeae mimi, ampokea yeye aliyenituma.


Yesu akamwambia, Ukiweza kuamini: yote yawezekana kwake aaminiye.


Mtu akimpokea kitoto kimoja wa namna hii kwa jina langu, anipokea mimi: na mtu akinipokea mimi, hanipokei mimi, bali yeye aliyenituma.


Akiisha kusema haya, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, toka, njoo huku.


Amin, amin, nawaambieni, Yeye ampokeae ye yote nimpelekae, anipokea mimi; nae anipokeae mimi, ampokea yeye aliyenipeleka.


Amin, amin, nawaambieni, Alisikiae neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka ana uzima wa milele, wala hafiki hukumuni, bali amepita toka mauti hatta uzima.


Bassi Yesu akapaaza sauti yake hekaluni, akifundisha, akisema, Mimi mnanijua, na nitokako mnakujua; wala sikuja kwa naisi yangu, illa yeye aliyenipeleka ni wa kweli, msiyemjua ninyi.


ambae kwa yeye mlimwamini Mungu, aliyemfufua akampa utukufu; hatta imani yenu na tumaini lenu liwe kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo