Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Bassi Yuda Iskariote, mwana wa Simon, mmoja wa wanafunzi wake, aliye tayari kumsaliti, akanena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wanafunzi wa Isa, ambaye baadaye angemsaliti Isa, akasema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wale wanafunzi ambaye ndiye angemsaliti Isa, akasema,

Tazama sura Nakili




Yohana 12:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Simon Kananayo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyemsaliti.


Kisha mmoja wa wale thenashara, jina lake Yuda Iskariote, alikwenda zake kwa makuhani wakuu,


Yuda wa Yakobo; na Yuda Iskariote, ndiye aliyekuwa khaini.


Mbona marhamu haya hayakuuzwa kwa dinari mia tatu, na kupewa maskini?


Hatta wakati wa chakula cha jioni, Shetani alipokwisha kumtia Yuda, mwana wa Simon Iskariote, moyo wa kumsaliti,


Bassi Yesu akajibu, Ni mtu yule nitakaemtowelea tonge na kumpa. Akatowelea tonge, akampa Yuda, mwana wa Simon Iskariote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo