Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Lakini ijapokuwa amefanya ishara kubwa namna hii mbele yao, hawakumwamini;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Ingawa Yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Ingawa Yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Ingawa Yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Hata baada ya Isa kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Hata baada ya Isa kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:37
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akaanza kuikemea miji ile ambamo ilifanyika miujiza yake iliyo mingi, kwa sababu haikutubu.


Akamwambia, Wasiposikia Musa na manabii, ajapoondoka mtu katika wafu, hawatashawishwa.


Alikuja kwake, nao walio wake hawakumpokea.


Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia siku zote; lakini kwa ajili ya makutano hawa wanaozunguka nalisema haya, wapate kuamini kwamba ndiwe uliyenituma.


Maadam mnayo nuru, iaminini nuru, mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake akajificha nao.


illi litimizwe lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, nani aliyeziamini khabari zetu? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?


Kama singalitenda kazi kwao asizozitenda mtu mwingine, wasingalikuwa na dhambi; sasa wametuona mimi na Baba yangu, na kutuchukia.


Mwanzo huu wa ishara Yesu alifanya Kana ya Galilaya, akauonyesha utukufu wake, wanafunzi wake wakamwamini.


Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo