Yohana 12:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Alinena haya, illi kuonyesha ni mauti gani atakayokufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Isa aliyasema haya akionesha ni kifo gani atakachokufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Isa aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa. Tazama sura |