Yohana 12:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Yesu akajibu, akasema, Sauti hii haikuwa kwa ajili yangu, bali kwa ajili yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Lakini Yesu akawaambia, “Sauti hiyo haikutokea kwa ajili yangu mimi, ila kwa ajili yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Lakini Yesu akawaambia, “Sauti hiyo haikutokea kwa ajili yangu mimi, ila kwa ajili yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Lakini Yesu akawaambia, “Sauti hiyo haikutokea kwa ajili yangu mimi, ila kwa ajili yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Isa akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Isa akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu. Tazama sura |