Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Yesu akajibu, akinena, Saa imefika, atukuzwe Mwana wa Adamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yesu akawaambia, “Saa ya kutukuzwa kwa Mwana wa Mtu imefika!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yesu akawaambia, “Saa ya kutukuzwa kwa Mwana wa Mtu imefika!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yesu akawaambia, “Saa ya kutukuzwa kwa Mwana wa Mtu imefika!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Isa akawajibu, “Saa imewadia ya Mwana wa Adamu kutukuzwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Isa akawajibu, “Saa imewadia ya Mwana wa Adamu kutukuzwa.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:23
16 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja nae, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake:


Khalafu akawaendea wanafunzi wake, akawaambia, Laleni sasa hatta mwisho, kapumzikeni: saa imekaribia, na Mwana wa Adamu anatiwa katika mikono ya wenye dbambi.


Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomha, ya kuwa, ikiwezekana, saa hii impitie.


Akaja marra ya tatu, akawaambia, Laleni sasa, hatta mwisho, kapumzikeni: yatosha, saa imekuja; Mwana wa Adamu anatiwa mikononi mwao wenye dhambi.


Mambo haya wanafunzi wake hawakuyafahamu hapo kwanza; lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walikumbuka ya kwamba ameandikiwa haya na ya kwamba walimtendea haya.


Sasa roho yangu imefadhaika; niseme nini? Baba, uniokoe na saa hii. Lakini kwa ajili ya hayo naliifikia saa hii. Baba, ulitukuze jina lako.


HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.


Neno hili alilisema katika khabari ya Roho, ambae wale wamwaminio watampokea khalafu: kwa maana Roho Mtakatifu alikuwa bado kuwapo, kwa sababu Yesu alikuwa bado kutukuzwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo