Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 12:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kiisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Isa.

Tazama sura Nakili

Yohana 12:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hawa thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akinena, Katika njia ya Mataifa msiende, wala mjini mwa Wasamaria msiingie:

Nae Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mtu wa mji wa Andrea na Petro.

Yesu akajibu, akinena, Saa imefika, atukuzwe Mwana wa Adamu.

Mmoja wa wanafunzi wake, Andrea, ndugu wa Simon Petro, akamwambia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo