Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Bassi wakamfanyizia karamu huko; Martha akakhudumu. Na Lazaro alikuwa mmoja wa wale walioketi chakulani pamoja nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wakaandaa karamu kwa heshima ya Isa. Martha akawahudumia, wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wakaandaa karamu kwa heshima ya Isa. Martha akawahudumia wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu, alipokuwa Bethania katika nyumba ya Simon mwenye ukoma,


Nae akiwapo Bethania, nyumbani mwa Simon mwenye ukoma, ameketi chakulani, akaja mwanamke mwenye kibweta cha alabastro cha marhamu ya hali udi, safi, ya thamani nyingi; akakivunja kibweta cha alabastro akaimimina kichwani pake.


Wa kheri watumishi wale ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesba. Amin, nawaambieni, atajifunga, atawaketisha, atakuja kuwakhudumia.


Akamwambia na yule aliyemwalika, Ufanyapo chakula cha assubuhi au cha jioni, usiwaite rafiki zako, wala ndugu zako, wala jamaa zako, wala jirani zako walio na mali, wasije na wao wakakualika wewe, ukapata malipo.


Maana nani mkubwa, aketiye chakulani, ama akhudumuye?


Nae Lawi akamfanyia karamu kubwa nyumbani mwake: na palikuwa na kundi kubwa la watoza ushuru, na watu wengine waliokuwa wameketi pamoja nao chakulani.


Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo