Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Kwa sababu hiyo makutano wakaenda kumlaki, kwa sababu wamesikia ya kwamba amefanya ishara hii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Na kwa sababu walikuwa wamesikia kwamba alikuwa ametenda muujiza huu, umati wa watu wakaenda kumlaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ni kwa sababu pia walikuwa wamesikia kwamba alikuwa ametenda muujiza huu ndiyo maana umati wa watu ukaenda kumlaki.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa amekwisha kukaribia matelemko va mlima wa mizeituni, kundi lote la wanafunzi wake wakaanza kufurahi na kumhimidi Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya miujiza yote waliyoiona,


maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walikwenda zao, wakamwamini Yesu.


Siku ya pili watu wengi walioijia siku kuu, waliposikia kwamba Yesu anakuja Yerusalemi,


Bassi Mafarisayo wakasemezana wao kwa wao, Mwaona kwamba hamfai neno: tazameni, ulimwengu umekwenda nyuma yake.


Mwanzo huu wa ishara Yesu alifanya Kana ya Galilaya, akauonyesha utukufu wake, wanafunzi wake wakamwamini.


Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo