Yohana 12:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Usiogope, binti Sayuni: angalia, Mfalme wako anakuja, ameketi juu ya mwana wa punda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Usiogope, ewe Binti Sayuni; tazama, mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Usiogope, Ewe binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!” Tazama sura |