Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Siku ya pili watu wengi walioijia siku kuu, waliposikia kwamba Yesu anakuja Yerusalemi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa Yesu alikuwa njiani kuja Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa Yesu alikuwa njiani kuja Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa Yesu alikuwa njiani kuja Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Siku iliyofuata umati mkubwa wa watu waliokuwa wamekuja kwenye Sikukuu walisikia kwamba Isa angekuja Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Siku iliyofuata umati mkubwa uliokuwa umekuja kwenye Sikukuu walisikia kwamba Isa angekuja Yerusalemu.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

BASSI Yesu siku sita kabla ya Pasaka akafika Bethania, hapo alipokuwapo Lazaro, yule aliyekufa akaihfuliwa nae.


Kwa sababu hiyo makutano wakaenda kumlaki, kwa sababu wamesikia ya kwamba amefanya ishara hii.


Bassi kundi kubwa la Wayuhudi walijua ya kuwa yeye yuko huko; wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, bali wamwone na Lazaro, ambae alimfufua katika wafu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo