Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walikwenda zao, wakamwamini Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake, Wayahudi wengi walikuwa wanamfuata Isa na kumwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake Wayahudi wengi walikuwa wanamwendea Isa na kumwamini.

Tazama sura Nakili




Yohana 12:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia siku zote; lakini kwa ajili ya makutano hawa wanaozunguka nalisema haya, wapate kuamini kwamba ndiwe uliyenituma.


Bassi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu na kuyaona aliyoyafanya Yesu, wakamwamini.


Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini: na Warumi watakuja, wataondoa mahali petu na taifa letu.


Makuhani wakuu wakafanya shauri wamwue Lazaro nae;


Kwa sababu hiyo makutano wakaenda kumlaki, kwa sababu wamesikia ya kwamba amefanya ishara hii.


Walakini hatta katika wakubwa wengi walimwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumwungama, wasije wakalolewa katika masunagogi.


Watu wengi katika makutano wakamwamini: wakasema, Atakapokuja Kristo, je! atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu?


Bali Wayahudi, walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayabisha maneno yaliyonenwa na Paolo, wakibisha na kutukana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo