Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 12:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Makuhani wakuu wakafanya shauri wamwue Lazaro nae;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakapanga njama ya kumuua Lazaro pia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakafanya mpango wa kumuua Lazaro pia,

Tazama sura Nakili




Yohana 12:10
14 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo wakatoka wakamfanyia shauri la kumwangamiza.


Bassi Herode, akiona ya kuwa amedhihakiwa na majusi, akaghadhabika sana, akatuma watu kuwaua watoto wote wanawaume waliokuwa Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wa miaka miwili na waliopungua, kwa muda aliouhakiki kwa majusi.


Akamwambia, Wasiposikia Musa na manabii, ajapoondoka mtu katika wafu, hawatashawishwa.


Na Makuhani na Mafarisayo wametoa amri ya kwamba, mtu akimjua alipo, alete khabari, wapate kumkamata.


maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walikwenda zao, wakamwamini Yesu.


Bassi kundi kubwa la Wayuhudi walijua ya kuwa yeye yuko huko; wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, bali wamwone na Lazaro, ambae alimfufua katika wafu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo