Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 11:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Yesu akajibu, Saa za mchana je si thenashara? Mtu akienda mchana hajikwai, kwa sababu aiona nuru ya ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Yesu akajibu, “Je, saa za mchana si kumi na mbili? Basi, mtu akitembea mchana hawezi kujikwaa kwa kuwa anauona mwanga wa ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Yesu akajibu, “Je, saa za mchana si kumi na mbili? Basi, mtu akitembea mchana hawezi kujikwaa kwa kuwa anauona mwanga wa ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Yesu akajibu, “Je, saa za mchana si kumi na mbili? Basi, mtu akitembea mchana hawezi kujikwaa kwa kuwa anauona mwanga wa ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Isa akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wanaotembea mchana hawawezi kujikwaa, kwa maana wanaona kwa nuru ya ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Isa akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu.

Tazama sura Nakili

Yohana 11:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bali akienda usiku, hujikwaa, kwa sababu nuru haimo ndani yake.

Bassi Yesu akawaambia, Nuru ingali pamoja nanyi muda kitambo. Enendeni maadam mnayo ile nuru, giza lisije likawaweza; nae aendae gizani hajui aendako.

Yanipasa kuzifanya kazi zake aliyenipeleka maadam ni mchana: usiku waja, asipoweza mtu kufanya kazi.

Yeye ampendae ndugu yake, akaa katika nuru, wala ndani yake hamna kikwazo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo