Yohana 11:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Kiisha baada ya haya akawaambia wanafunzi wake, Twende Yahudi tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Yudea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.” Tazama sura |