Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 11:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Bassi aliposikia kwamba hawezi alikaa bado siku mbili mahali pale alipokuwapo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Alipopata habari kwamba Lazaro ni mgonjwa, Yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Alipopata habari kwamba Lazaro ni mgonjwa, Yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Alipopata habari kwamba Lazaro ni mgonjwa, Yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Hata hivyo, baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, alikawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura Nakili

Yohana 11:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu alimpenda Martha na dada yake ua Lazaro.

Kiisha baada ya haya akawaambia wanafunzi wake, Twende Yahudi tena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo