Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 11:57 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

57 Na Makuhani na Mafarisayo wametoa amri ya kwamba, mtu akimjua alipo, alete khabari, wapate kumkamata.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

57 Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

57 Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

57 Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

57 Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa yeyote atakayejua mahali Isa aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

57 Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa yeyote atakayejua mahali Isa aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.

Tazama sura Nakili

Yohana 11:57
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wakatafuta marra ya pili kumkamata: akatoka mikononi mwao.

Lakini baadhi yao wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.

Bassi makuhani wakuu na Mafarisayo wakakusanya baraza, wakanena, Tunafanya nini? Maana mtu huyu afanya ishara nyingi.

Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Wazazi wake waliyasema haya kwa sababu waliwaogopa Wayahudi; kwa maana Wayahudi wamekwisha kuwafikana kwamba mtu akimwungama kuwa Kristo, ataharamishwa sunagogi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo