Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 11:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

56 Bassi wakamtafuta Yesu, wakasemezana wao kwa wao, wakisimama katika hekalu, Mwaonaje? Haji kabisa siku kuu hii?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Watu wakawa wanamtafuta Isa, nao waliposimama kwenye ua la Hekalu, waliulizana, “Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Watu wakawa wanamtafuta Isa, nao waliposimama kwenye eneo la Hekalu waliulizana, Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu?

Tazama sura Nakili

Yohana 11:56
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na Makuhani na Mafarisayo wametoa amri ya kwamba, mtu akimjua alipo, alete khabari, wapate kumkamata.

Bassi Wayahudi wakamtafuta katika siku kuu wakanena, Yuko wapi huyo?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo