Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Nae Yesu alimpenda Martha na dada yake ua Lazaro.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Isa aliwapenda Martha, Mariamu na Lazaro ndugu yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Pamoja na hivyo, ingawa Isa aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao,

Tazama sura Nakili




Yohana 11:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walipokuwa wakienenda, akaingia katika kijiji kimoja; na mwanamke mmoja, jina lake Martha, akamkaribisha nyumbani mwake.


Bali Martha alihangaika kwa khuduma nyingi: akamwendea, akasema, Bwana, haikukhussu wewe ya kuwa ndugu yangu ameniacha kukhudumu peke yangu? Bassi mwambie anisaidie.


Bwana akamjibu akamwambia, Martha, Martha, unajisumbua na kujifadhaisha kwa ajili ya mambo mengi:


BASSI mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mtu wa mji wa Mariamu na Martha dada yake.


Bassi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake, wakisema, Bwana, yeye umpendae hawezi.


Bassi Wayahudi wakanena, Angalieni jinsi alivyompenda.


Bassi aliposikia kwamba hawezi alikaa bado siku mbili mahali pale alipokuwapo.


Wale wanafunzi wakamwambia, Rabbi, juzi juzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga mawe, nawe unakweuda huko tena?


kwa maana Baba mwenyewe awapenda ninyi, kwa kuwa ninyi mmenipenda mimi, mkaamini ya kwamba mimi nalitoka kwa Baba.


Naliwajulisiia jina lako, tena nitawajulisha, illi pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, na mimi niwe ndani yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo