Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 11:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Bali wengine walisema, Je! huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Lakini baadhi yao wakasema, “Je, huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya Lazaro asife?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Lakini baadhi yao wakasema, “Je, huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya Lazaro asife?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Lakini baadhi yao wakasema, “Je, huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya Lazaro asife?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?”

Tazama sura Nakili

Yohana 11:37
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,

Watu wakasimama, wakitazama. Nao wakuu wakamfanyizia mzaha, wakisema, Aliokoa wengine; na ajiokoe nafsi yake, kama huyu ndiye Kristo wa Mungu, mtenle wake.

Mmoja wa wale wakhalifu waliotundikwa akamtukana, akisema, Si wewe uliye Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.

Bassi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.

Bassi Mariamu, alipofika pale alipokuwapo Yesu, akamwona, akaanguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungaliwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo