Yohana 11:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192131 Bassi wale Wayahudi waliokuwa pamoja nae nyumbani, wakimfariji, walipomwona Mariamu, jinsi alivyoondoka upesi na kutoka, wakamfuata, wakidhani ya kuwa anakwenda kaburini illi alie huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Basi, Wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na Maria wakimfariji walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. Walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Basi, Wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na Maria wakimfariji walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. Walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Basi, Wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na Maria wakimfariji walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. Walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Wale Wayahudi waliokuwa pamoja na Mariamu nyumbani wakimfariji walipoona ameondoka haraka na kutoka nje, walimfuata wakidhani kwamba alikuwa anaenda kule kaburini kulilia huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Wale Wayahudi waliokuwa pamoja na Maria nyumbani wakimfariji walipoona ameondoka haraka na kutoka nje, walimfuata wakidhani ya kwamba alikuwa anakwenda kule kaburini kulilia huko. Tazama sura |