Yohana 11:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji, lakini alikuwa pale pale alipomlaki Martha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale Martha alipomlaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale Martha alipomlaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yesu alikuwa hajaingia kijijini, ila alikuwa bado mahali palepale Martha alipomlaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Isa alikuwa hajaingia kijijini, bali alikuwa bado yuko mahali pale alipokutana na Martha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Isa alikuwa hajaingia kijijini, bali alikuwa bado yuko mahali pale alipokutana na Martha. Tazama sura |