Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Bassi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake, wakisema, Bwana, yeye umpendae hawezi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa Yesu: “Bwana, rafiki yako ni mgonjwa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa Yesu: “Bwana, rafiki yako ni mgonjwa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa Yesu: “Bwana, rafiki yako ni mgonjwa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Hivyo hawa dada wawili walituma ujumbe kwa Isa kumwambia, “Bwana, yule umpendaye ni mgonjwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Hivyo hawa dada wawili walituma ujumbe kwa Isa kumwambia, “Bwana Isa, yule umpendaye ni mgonjwa.”

Tazama sura Nakili




Yohana 11:3
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na Bwana alipomwona, akamhurumia, akamwambia, Usilie.


BASSI mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mtu wa mji wa Mariamu na Martha dada yake.


Aliyasema haya: kiisha baada ya liaya akawaambia, Lazaro rafiki yetu amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.


Ni Mariamu yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu yake kwa nywele zake, ambae ndugu yake Lazaro alikuwa hawezi.


Bassi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.


Bassi Wayahudi wakanena, Angalieni jinsi alivyompenda.


Nae Yesu alimpenda Martha na dada yake ua Lazaro.


Ninyi mwaniita Mwalimu, na Bwana; na mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.


Palikuwako mmoja wa wanafunzi wake, amemwegamia Yesu kifua chake, ambae Yesu alimpenda.


Trofimo nalimwacha Mileto, hawezi.


Mimi nawakemea wote niwapendao, na kuwarudi: bassi uwe na bidii, ukatubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo