Yohana 11:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Nae aliposikia, akaondoka upesi, akamwendea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Mariamu aliposikia hivyo, akaondoka upesi, akaenda hadi alipokuwa Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Isa. Tazama sura |