Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Na alipokwisha kusema haya, akaenda zake, akamwita dada yake, Mariamu, kwa siri, akisema, Mwalimu yupo, anakuita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Baada ya kusema hayo, Martha alikwenda kumwita Maria, dada yake, akamwambia faraghani, “Mwalimu yuko hapa, anakuita.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Baada ya kusema hayo, Martha alikwenda kumwita Maria, dada yake, akamwambia faraghani, “Mwalimu yuko hapa, anakuita.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Baada ya kusema hayo, Martha alikwenda kumwita Maria, dada yake, akamwambia faraghani, “Mwalimu yuko hapa, anakuita.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Baada ya kusema haya, Martha alienda akamwita Mariamu dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Baada ya kusema haya Martha alikwenda, akamwita Maria dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.”

Tazama sura Nakili




Yohana 11:28
19 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Enendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu anena, Majira yaugu i karibu; kwako nitafanya pasaka pamoja na wanafunzi wangu.


Wakamwita yule kipofu, wakamwambia, Jipe moyo; ondoka, anakuita.


na po pote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, I wapi sebule ya wageni, niile pasaka, pamoja na wanafunzi wangu?


Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Ki wapi chumba cha wageni, nipate kula Pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?


Huyu akamwona kwanza Simon, ndugu yake mwenyewe, akamwambia, Tumemwona Masihi, (tafsiri yake Kristo).


Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na na manabii, Yesu, mwana wa Yusuf, mtu wa Nazareti


Bawabu humfungulia huyu, na kondoo humsikia sauti yake, nae huwaita kondoo zake kwa majina yao, huwapeleka nje.


Bassi Martha, aliposikia kwamba Yesu anakuja, akaenda kumlaki; na Mariamu alikuwa akikaa nyumbani.


Nae aliposikia, akaondoka upesi, akamwendea.


Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji, lakini alikuwa pale pale alipomlaki Martha.


Ninyi mwaniita Mwalimu, na Bwana; na mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.


Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Rabboni (tafsiri yake Mwalimu).


Bassi mwanafunzi yule ambae Yesu alimpenda akamwambia Petro, Ndiye Bwana. Bassi Simon Petro, aliposikia ya kwamba ni Bwana, akajifunga vazi lake (maana alikuwa uchi), akajitupa baharini.


Bassi, farijianeni mkajengeane, killa mtu mwenzake, vile vile kama mnavyofanya.


Kwa hiyo inyosheni mikono iliyolegea na magoti yaliyopooza,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo