Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Bassi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Martha akamwambia Isa, “Bwana, kama ungekuwa hapa, ndugu yangu hangekufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Martha akamwambia Isa, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.

Tazama sura Nakili




Yohana 11:21
12 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokuwa akiwaambia haya, yuaja jumbe mmoja, akamsujudia, akinena, Binti yangu udio kwanza afe: lakini njoo, uweke mkono wako juu yake, uae atapona.


Ni Mariamu yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu yake kwa nywele zake, ambae ndugu yake Lazaro alikuwa hawezi.


Bassi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake, wakisema, Bwana, yeye umpendae hawezi.


Bassi Mariamu, alipofika pale alipokuwapo Yesu, akamwona, akaanguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungaliwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.


Bali wengine walisema, Je! huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo