Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Bassi Martha, aliposikia kwamba Yesu anakuja, akaenda kumlaki; na Mariamu alikuwa akikaa nyumbani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, Martha aliposikia kwamba Yesu alikuwa anakuja, akaenda kumlaki; lakini Maria alibaki nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, Martha aliposikia kwamba Yesu alikuwa anakuja, akaenda kumlaki; lakini Maria alibaki nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, Martha aliposikia kwamba Yesu alikuwa anakuja, akaenda kumlaki; lakini Maria alibaki nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Martha aliposikia kwamba Isa anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Mariamu alibaki nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Martha aliposikia kwamba Isa anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani.

Tazama sura Nakili




Yohana 11:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

NDIPO ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.


Hatta usiku wa manane, pakawa na kelele, Haya, bwana arusi anakuja; tokeni kwenda kumlaki.


Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji, lakini alikuwa pale pale alipomlaki Martha.


Petro alipokuwa akiingia, Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.


Na kutoka huko ndugu, waliposikia khabari zetu, wakaja kutulaki mpaka Appiiforo na Trestaberne. Paolo alipowaona akamshukuru Mungu, akachangaʼmka.


baada va haya sisi tulio hayi, tuliosalia, tutachukuliwa pamoja nao katika mawingu, illi tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo