Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Na Bethania ilikuwa karibu ya Yerusalemi, kadiri ya stadio khamstashara;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu, umbali wa yamkini maili mbili,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,

Tazama sura Nakili




Yohana 11:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaacha, akatoka nje ya mji mpaka Bethania, akalala huko.


Siku ileile wawili wao walikuwa wakienda hatta kijiji, jina lake Emmao, kilichokuwa mbali ya Yerusalemi yapata stadio sittini.


BASSI mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mtu wa mji wa Mariamu na Martha dada yake.


Bassi wakavuta makasia kadiri ya stadio ishirini na tano au thelathini, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari, anakikaribia chombo: wakaogopa.


Shinikizo lile likakanyagwa nje ya mji, damu ikatoka katika shinikizo mpaka khatamu za farasi, mwendo wa mastadio elfu na sita mia.


Na ule mji ni wa mrabba, na marefu yake sawa sawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi, hatta stadio thenashara elfu. Marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake mamoja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo