Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 11:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi alipofika Yesu, akamkuta amekwisha kuwa kaburini yapata siku nne.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Isa alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Isa alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne.

Tazama sura Nakili

Yohana 11:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipoposwa na Yusuf, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule mtu aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa: maana amekuwa mayiti siku nne.

Yesu akajibu, akawaambia, Livunjeni hekalu hii, nami kwa siku tatu nitaisimamisha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo