Yohana 11:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Lakini Yesu amenena khabari za mauti yake: nao walidhani ya kuwa ananena khabari za kulala usiugizi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha Lazaro. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha Lazaro. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha Lazaro. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Hata hivyo, Isa alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Hata hivyo, Isa alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu. Tazama sura |