Yohana 11:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Bassi wale wanafunzi wake wakamwambia, Bwana, kama amelala atapona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wanafunzi wakamwambia, “Bwana Isa, kama amelala usingizi ataamka.” Tazama sura |