Yohana 11:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Bali akienda usiku, hujikwaa, kwa sababu nuru haimo ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Lakini wale wanaotembea usiku hujikwaa kwa sababu hawana nuru ndani yao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.” Tazama sura |