Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BASSI mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mtu wa mji wa Mariamu na Martha dada yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mtu mmoja aitwaye Lazaro, mwenyeji wa Bethania, alikuwa mgonjwa. (Kijiji cha Bethania kilikuwa mahali walipokaa Maria na Martha, dada yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mtu mmoja aitwaye Lazaro, mwenyeji wa Bethania, alikuwa mgonjwa. (Kijiji cha Bethania kilikuwa mahali walipokaa Maria na Martha, dada yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mtu mmoja aitwaye Lazaro, mwenyeji wa Bethania, alikuwa mgonjwa. (Kijiji cha Bethania kilikuwa mahali walipokaa Maria na Martha, dada yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Basi mtu mmoja, jina lake Lazaro, alikuwa mgonjwa. Yeye alikuwa akiishi Bethania, kijiji cha Mariamu na Martha dada yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Basi mtu mmoja jina lake Lazaro alikuwa mgonjwa. Yeye alikuwa akiishi Bethania kijiji cha Maria na Martha dada zake.

Tazama sura Nakili




Yohana 11:1
15 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaacha, akatoka nje ya mji mpaka Bethania, akalala huko.


HATTA walipokaribia Yerusalemi karibu na Bethfage na Bethania, kukabili mlima wa Mizeituni, akawatuma wawili katilia wanafunzi wake, akawaambia,


Aliyasema haya: kiisha baada ya liaya akawaambia, Lazaro rafiki yetu amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.


Na Bethania ilikuwa karibu ya Yerusalemi, kadiri ya stadio khamstashara;


na watu wengi katika Wayahudi wamekuja kwa Martha na Mariamu, illi kuwafariji kwa ajili ya ndugu yao.


Bassi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake, wakisema, Bwana, yeye umpendae hawezi.


Bassi wakamshuhudia makutano waliokuwa pamoja nae alipomwita Lazaro kutoka kaburini akamfufua.


Bassi kundi kubwa la Wayuhudi walijua ya kuwa yeye yuko huko; wakaja, si kwa ajili yake Yesu tu, bali wamwone na Lazaro, ambae alimfufua katika wafu.


Ikawa siku zile akaugua, akafa: hatta walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo