Yohana 10:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Bassi Yesu aliwaamhia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi niliye mlango wa kondoo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, akasema tena, “Kweli nawaambieni, mimi ni mlango wa kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, akasema tena, “Kweli nawaambieni, mimi ni mlango wa kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, akasema tena, “Kweli nawaambieni, mimi ni mlango wa kondoo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa hiyo Isa akasema nao tena, akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa hiyo Isa akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. Tazama sura |