Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 10:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Akaenda zake tena ngʼambu ya Yardani, hatta pahali ptile alipokuwa Yohana akihatiza hapo kwanza; akakaa huko. Watu wengi wakamwendea, wakanena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Yesu akaenda tena ngambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Yesu akaenda tena ngambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Yesu akaenda tena ng'ambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Isa akaenda tena ng’ambo ya Yordani hadi mahali Yahya alikuwa akibatiza hapo awali, naye akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Akaenda tena ng’ambo ya Mto Yordani mpaka mahali pale ambapo Yahya alikuwa akibatiza hapo awali, naye akakaa huko.

Tazama sura Nakili




Yohana 10:40
5 Marejeleo ya Msalaba  

Haya yalifanyika Bethania ngʼambu ya Yardani, alikokuwako Yohana akibatiza.


Bassi Yesu hakutemhea tena kwa wazi kati ya Wayahudi, hali alitoka huko akaenda mahali karibu ya jangwa, hatta mji nitwao Efraim; akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.


Kiisha baada ya haya akawaambia wanafunzi wake, Twende Yahudi tena.


Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabbi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ngʼambu ya Yardani, uliyemshuhudia wewe, huyu nae anabatiza, na watu wote wanamwendea.


NA baada ya haya Yesu akawa akitembea katika Galilaya: maana hakutaka kutembea katika Yahudi, kwa sababu Wayahudi walikuwa wakitafuta kumwua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo