Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 10:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Baba yangu aliyenipa ni mkuu kuliko wote; wala hakuna awezae kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote, na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.

Tazama sura Nakili




Yohana 10:29
12 Marejeleo ya Msalaba  

nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakaewapokonya katika mkono wangu.


Mimi na Baba yangu tu nmoja.


Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia, Nakwenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahi, kwa sababu nashika njia kwenda kwa Baba: kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.


Na mimi simo tena ulimwenguni, na hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, uwalinde kwa jina lako wale ulionipa; wawe moja, kama sisi.


kama vile ulivyompa mamlaka juu ya killa mwenye mwili, illi yote uliyompa awape uzima wa milele.


Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; wahkuwa wako, ukanipa mimi: na neno lako wamelishika.


Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu, bali wao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako.


Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo