Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 10:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Bassi Wayahudi wakamzunguka, wakamwambia, Hatta lini utatuangaisha roho zetu? Kama wewe u Kristo, tuambie wazi wazi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Basi, Wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, “Utatuacha katika mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiwe Kristo, basi, tuambie wazi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Basi, Wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, “Utatuacha katika mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiwe Kristo, basi, tuambie wazi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Basi, Wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, “Utatuacha katika mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiwe Kristo, basi, tuambie wazi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Wayahudi wakamkusanyikia, wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka hadi lini? Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie waziwazi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiwe Al-Masihi tuambie waziwazi.”

Tazama sura Nakili




Yohana 10:24
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe ndiye ajae, au tumtazamie mwingine?


Petro akamchukua akaanza kumkemea.


Bassi wale watu walipokuwa katika hali ya kutazamia, wakitafakari wote khabari za Yohana, kwamba yeye huenda akawa Kristo,


Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?


Bassi Wayahudi wakaokota mawe tena, illi wampige.


Wayahudi wakamjibu wakinena, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi mawe, bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe, uliye mwana Adamu, wajifanya nafsi yako u Mungu.


Haya nimesema nanyi kwa methali: saa inakuja, sitasema nanyi tena kwa methali, lakini nitawapa kwa wazi khabari ya Baba.


Bassi wakamwambia, U nani wewe? Yesu akawaambia, Neno lilo hilo nisemalo nanyi tangu mwanzo.


Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, nae amekufa? Na manabii wamekufa; wajifanya kuwa nani?


Wazazi wake waliyasema haya kwa sababu waliwaogopa Wayahudi; kwa maana Wayahudi wamekwisha kuwafikana kwamba mtu akimwungama kuwa Kristo, ataharamishwa sunagogi.


Bassi, kwa kuwa tuna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo